moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Yaani mimi ningemrudisha na hiyo sh500 yake,mfyuuu.
Sijambo kakake,habari ya wewe
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani mimi ningemrudisha na hiyo sh500 yake,mfyuuu.
Sijambo kakake,habari ya wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji124] [emoji124]
AfadhaliDAR ES SALAAM
Baada ya video kusambaa katika Mitandao ya Kijamii, Mgambo waliompiga kinyama Robson Orotho anayedaiwa kutolipa faini ya usafi wakamatwa.
Waliokamatwa ni Kelvin Edson, Gudluck Festo, Rehema Nyange. Watafikishwa Mahakamani haraka iwezekanavyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawawajui hao mkuu KUNGUNI ni zaidi ya chama kileNyie mnao sema mapenzi yanakosesha usingizi mnawajua KUNGUNI[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
SafiiView attachment 852582 Ngorongoro