carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Aiseh!mwenyewe aliweka pozi kabisa la picha daah!Wanaume wengine katili sana !!!
View attachment 852744
100%100%[emoji122][emoji122]Naamini ni vigumu sana kumfanya mwanaume aridhike kwa sababu ya kufanyiwa ufundi mwingi.
Mwanaume hana anachoridhika nacho, mwanamke anaweza kujitahidi kufanya yale anayodhani mmewe ataridhika nayo lakini isiwe vile.
Wakati mwingine mwanaume huhitaji kufanya badiriko la kuridhisha nafsi yake tu, na hata kama ana mke mzuri na mtaalamu nyumbani hiyo haimfanyi atulie.
Kitakachomfanya mwanaume atulie ni kufanya maamuzi ya kutulia tu na si kitu kingine.
Nasema haya sababu ninao uzoefu na pia ni mwanaume.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila siku zingine uwe una mhurumia, namuoneaga huruma sana anavyo "kudeku" kwa uoga uoga. Jifunze kusahau maumivu yaliyo pita, ni binadamu kama wewe tu,sema ile akili yake nusu na robo kupenda mpira ndo changamoto[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jaman unajishtukia kama umetekenywa mbele za wakwe tulia bana mie nimeweka picha tu bagoshaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani hata wewe bageshi? Tangu uukane Usukuma tayari nawe ushaanza mashambulizi? Anyway wakora bojo [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]
Hizo mbona ni intro tu?Aiseh!mwenyewe aliweka pozi kabisa la picha daah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ile bet ya avatar hutaielewa shemHata wakirudiana hawatadumu. EPL iko on...na wewe upo pia sijui na mitego ya avatar sijui nini. Mpaka leo sijaelewa ile sababu uliyotoa ya kumnyang'anya. Kijana wa watu ameanza tena kujiimbia maparabozi. Muwage na utu jamani [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
80% 80% [emoji107][emoji107][emoji107][emoji107][emoji107]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti huyo ni mimi kando ya ziwa Victoria. Du yu bilivu zati? Hovyo kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena ngoja nimdediketie hili,yeye si alichagua ipielo.
Tena naomba msimu huu watolewe mapema,sanaView attachment 852766
Aiseh!MBEYA:
Baba amuua Mwanae, Mifupa ya Marehemu yaibwa.
Leo August 31, 2018 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wametusogezea matukio mawili yaliyotikisa mkoa huo la kwanza ni Mwanaume mmoja anaefahamika kwa jina la Geofrey Emilio anashikiliwa kutokana na kumuua mtoto wake aitwaye Prince Geofrey mwenye umri wa miezi 5.
Tukio la pili ni ni msako wa watu wanaodaiwa kufukua kaburi na kisha kuchukua mifupa ya mwili wa marehemu ambaye alikuwa na ulemavu wa ngozi [Albinism].
Matukio hayo yameelezewa na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Modestus Chambu akizungumza na Waandishi wa Habari.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Una bahati matusi ya Kihaya nimeshayasahau isipokuwa neno moja tu (mana). Leo ungeyachezea aisee.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jaman unajishtukia kama umetekenywa mbele za wakwe tulia bana mie nimeweka picha tu bagoshaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]