Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hii familia na wote waliokaribu nao kwa namna moja ama nyingine wanachosha,kila siku wao tu na drama zao khaa!!
 
Drama zinaendelea.
Wachukue tu mzigo wao wapeleke kwenye mall zao tupumzike
 
Ummy Mwalimu, MP
@umwalimu

Pima Afya yako kujua kama una maambukizi ya VVU. Endapo mtu atakutwa na maambukizi ya VVU ataanzishiwa dawa za ARV mara moja tofauti na zamani ambapo alikuwa analazimika kusubiri mpaka CD4 zishuke. Kuanza ARV mapema na kuzitumia ipasavyo kutalinda furaha ya wote wanaoishi na VVU.
 
Leo September 1, 2018
Mwili wa Mwanafunzi aliyeuawa kwa kupigwa viboko na Mwalimu wake wa Nidhamu, Sperius Radius hatimaye umezikwa Wilayani Muleba nyumbani kwa wazazi wake.

R.I.P mtoto mzuri!
View attachment 853361

@Mohabbat par itna yaqeen
Ingekuwa nchi za wenzetu huko, serikali hapa ingelipa mamilioni ya dola pamoja na wahusika kufungwa maisha. Lakini hapa kwetu Bongo mhhh. Unauliwa mtoto wako hivi hivi mchana kweupe...
 
ManU leo mnacheza?
 
Nae anatanga tanga, kipindi kamtupilia mbali Ndikumana nilihisi labda Ndikumana ndo mwenye tatizo...Lakini naona bandika bandua inaendelea.

@Mohabbat par itna yaqeen
Mastaa wakubwa wa dunia hufika mahali wanasoma upepo wakiona miaka imeenda wanaamua kuolewa na kutulia. Angalia akina Beyonse na Destiny Child wenzake, JLO, Christina Aquilera, Alicia Keys na hata mastaa wengine wa sinema. Wanajua kuwa the Biological clock is ticking na kuna muda ulimbwende huanza kufifia. Lakini hawa wa kwetu ustaa wenyewe sijui ustaa gani lakini hakuna kutulia. Kule utu uzima watapata taabu sana hasa kama na pesa wanazopata sasa hawazitumii vizuri.
 
Nafikiri wengi wao hawajielewi tu..

@Mohabbat par itna yaqeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…