Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Plato, Myunani wa kale, alipendekeza kuwa wanafalsafa ndio wanaofaa kuwa watawala wa nchi,
maana wana sifa mbili muhimu: kwanza, Wana uwezo wa kutawala, na pili, hawapendi kutawaIa. Kwa hiyo, Jamhuri ya Plato itakuwa na sheria ya kuwalazimisha wanafalsafa kutawala kwa zamu; na mtu zamu yake ya kutawala ikiisha, atafurahi sana kurudia shughuli zake za falsafa ambazo ndizo hasa anazozipenda.

julius nyerere
 
Lakini nchi zetu hazitawaliwi na wanafalsafa wa Plato; watawala wetu ni wanasiasa wa kawaida ambao wanapenda sana kutawala hata kama hawana uwezo wa kutawala; na ambao wako tayari hata kuhonga ili wachaguliwe kuwa watawala, na wakisha kuchaguliwa hawatoki bila kulazimishwa. Si busara kuwaachia wao wenyewe ndio wawe waamuzi wa lini waache kuwa watawala.

julius nyerere
 
Pamoja na mambo mengine, nilieleza kuwa sehemu moja ya mapendekezo ya Kamati ya Bomani, ile inayosema Mgombea akitoka upande mmoja mwenziwe atoke upande mwingine wa Muungano, inakusudiwa kuisaidia Zanzibar.
Maana ukiacha Mwenzi wa Mgombea urais achaguliwe kutoka upande wo wote wa Muungano, uwezekano wa wote wawili, Rais na Makamu, kutoka Tanzania Bara ni mkubwa sana. Mapendekezo ya Kamati ya Bomani yalikuwa yanahakikisha kwamba mmoja wa viongozi wetu wakuu hao akitoka Bara mwingine atatoka Visiwani. Kwa hiyo ni vigumu sana kuona kwa nini "Wazanzibari" wanapinga utaratibu huu.
julius nyerere
 
‪Rais wa Misri Abdel Fattah al-Sisi ameidhinisha sheria mpya itakayowaweka chini ya usimamizi Watumiaji wa mitandao ya kijamii wenye Wafuasi (followers) zaidi ya 5000, sheria hiyo itakuwa inamtambua Mtu mwenye Followers zaidi ya 5000 kama chombo cha habari.


[emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117]ingekuwa bongo kina wema ingewahusu
 
Makontena 10 ya Makonda yazua utata mpya mnadani

Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart ikishindwa kuyauza makontena 20 yaliyoagizwa na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa mara ya pili, utata umeugubika mnada huo baada ya makontena 10 kutofunguliwa ili wateja kujua bidhaa zilizomo.
Mwananchi
Hii tamthilia nzuri kweli
 
Back
Top Bottom