Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hivi ana followers wangapi
 
Tanganyika na Zanzibar zilipoamua kuungana na kuwa Nchi Moja, tungeweza kufuata mmojawapo wa mifumo hiyo ya kawaida.
Lakini tulishindwa kufanya hivyo kwa sababu ya udogo wa Zanzibar na ukubwa wa Tanganyika. Zanzibar ilikuwa na watu laki tatu (300,000) na Tanganyika watu milioni kumi na mbili (12,000,000). Muungano wa Serikali Moja ungefanya ionekane kama Tanganyika imeimeza Zanzibar.

Tulikuwa tunapigania Uhuru na Umoja wa Afrika; hatukutaka tutuhumiwe hata kwa makosa, kwamba tunaanzisha ubeberu mpya! Kwa hiyo mimi nilipinga mfumo wa Serikali Moja.
Shirikisho la Serikali Tatu lingekuwa ni gharama kubwa mno kwa Tanganyika. Zanzibar ingeendesha Serikali yake na kuchangia gharama za kuendesha Serikali ya Shirikisho; na Tanganyika ingefanya vivyo hivyo. Lakini ni dhahiri kwamba mchango wa Tanganyika ndio hasa ungeendesha SerikaIi ya Shirikisho. Kwa hiyo Tanganyika ingeendesha Serikali yake ya watu 12, 000, 000 na pia ndiyo ingetoa sehemu kubwa ya kuendesha Serikali ya Shirikisho la watu 12,300,000.
julius nyerere
 
Labda ni vizuri kukumbusha kwamba shabaha ya baadhi yetu ilikuwa ni kuunganisha nchi za Afrika Mashariki ziwe nchi moja. Na wakati Zanzibar na Tanganyika zinaungana, Kenya, Uganda na Tanganyika zilikuwa katikati ya mazungumzo ya kutafuta uwezekano, wa kuungana. Kama jambo hilo, lingetokea, nina hakika kabisa kwamba mfumo wa nchi mpya ambayo ingezaliwa ungelikuwa ni Shirikisho; au la Shirikisho la Nchi Tatu zenye Serikali Nne au Shirikisho la Nchi Nne zenye Serikali Tano.
julius nyerere
 
Siku ya pili yake tarehe 15/8/1993, Wabunge wenye hoja yao na wengine zaidi, waliomba tena kuja 'Tunywe chai'. Na baada ya mazungumzo nao ilikuwa ni dhahiri kabisa kwangu kwamba hata kama hawakuondoa hoja yao (wala mimi sikuwaomba waiondoe), wataitumia kutoa dukuduku zao tu; hawataitumia kung'ang'ania kudai Serikali ya Tanganyika. Kwa hiyo sikushangaa baadaye niliposikia kuwa waliiondoa hoja yao ya awali, na badala yake wakaleta hoja ya kutafuta maoni ya wananchi.
Mimi kwa upande wangu nilihisi kuwa hoja mpya hii ilikuwa na shabaha ileile ya "kunawa uso",kama Zanzibar kusema kuwa wanatoka katika OIC, 1akini utafanywa uchunguzi wa kuona kama Tanzania inaweza kuingia katika OIC.
julius nyerere
 
[emoji56]Nikiwa nimechoka najiamulia tu kupiga simu police

# *Mimi:* Hello afande nipo hapa naona watu kibao wamekufa...

*#Afande:* Kiongozi tuambie mahali ulipo tuje sasa hivi...

*#Mimi:* Nipo hapa makaburini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…