The Boldly
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 2,377
- 5,151
duh ni miaka 27 iliopita, yaani tokea baba na mama yangu hawajakutana kimahusiano.
ndoa za zamani kwa kiasi kikubwa ni mwendo wa kulazimishwa kamuoe binti wa mjomba wako.
no love
shikamoo jogooo
hata nia ya kuwa tumboni ilikuwa haipoAseee kumbe ulikuwa bado tumboni[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Labda huko kwenu mkuu 91 wengi hawakua wakilazimishwa,walionizungukanwalionizunguka hapa wameoana kwa kupendana wenyewe sio kulazimishwa. Halafu hio ya kuoana mabinamu naisikia sana kwa wahindi kuliko kwa waafrika. Umesoma kwenue hadithi gani nami nikafaidi hio story?