Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
βͺWanaume kutoka Jamii ya Sepik ya nchini Papua New Guinea hukatwa Migongo yao kwa wembe ili ifanane na ngozi ya Mamba wakiamini kuwa mnyama Mamba ni ishara ya nguvu pia kuna imani katika Jamii hiyo kuwa walitokana na Mamba.β¬View attachment 854440
R.I.P wageni wetuAjali Arusha. Watalii watatu wameteketea leo. RIP
View attachment 854634
Makontena 10 ya Makonda yazua utata mpya mnadani
Wakati Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kupitia kampuni ya udalali ya Yono Auction Mart ikishindwa kuyauza makontena 20 yaliyoagizwa na mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa mara ya pili, utata umeugubika mnada huo baada ya makontena 10 kutofunguliwa ili wateja kujua bidhaa zilizomo.
Mwananchi
Mungu awafanyie wepesi waliotangulia na waliobakiππππ
βͺJeshi la Marekani limefuta msaada wa Dola Milioni 300 sawa na zaidi ya Bilioni 685 za Kitanzania kwa nchi ya Pakistan kwa madai ya kwamba nchi hiyo imeshindwa kuyachukulia hatua makundi ya Wanamgambo, Jeshi hilo limesema kuwa litatumia Fedha hizo kwa masuala mengine.
πππPumbavu zao
Morning?
Mungu awafanyie wepesi waliotangulia na waliobaki[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]