Washabiki wa Arsernal wanaitwa Gunners? Mi wala sielewi mkuu
Tuna kikao cha dharula
Ajali Arusha. Watalii watatu wameteketea leo. RIP
View attachment 854634
Nchi hii imewahi kung' oa masultani wa kila aina, Tukianza kuvumilia masultani wakuchaguliwa tutapanda mbegu ya masultani wa kuzaliwa.
julius nyerere
Na kama tukiacha utamaduni wa woga ukazagaa tutakuwa tunakaribisha udikteta.
julius nyerere
Samahani una miaka mingapi?
HAPANAMkuu ulibahatika kuuona utawala.wa huyu mzee?