Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Hakika, uongozi wake ulikuwa ni wake mwenyewe, alikuwa hapingwi, kumpinga ilikuwa jinai. Hakuwa fisadi lakini utawala wake ulilea ufisadi. Meneja mmoja atafuja RTC Shinyanga atahamishiwa UFI. Mwingine atafisadi Urafiki atahamishiwa BHESCO. Ulikua utawala wa aina yake. Mwenyewe hakurusu mawazo.mbadala.kwenye utawala wake lakini yeye alichanua sana kuingiza mawazo yake kwenye tawala za wenzake Mwinyi na Mkapa
 
Imeshaanza. Mtu akiwa bored huwa haukuna mbadala wa furaha mpaka mood irudi yenyewe

View attachment 854741View attachment 854743ok boss. First see our lukaku


asi tu
Imeshaanza. "Mtu akiwa bored huwa hakuna mbadala wa furaha mpaka mood irudi yenyewe"

Umenikosha na hiyo kauli. Na nyie wanawake ndiyo zenu. Mkishasema leo sipo kwenye mood hata uhangaike namna gani hakuna kitu. Sijui tu mkoje [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Hilo halina ubishi. Mababa wengi wa mataifa ya Afrika walikuwa na tabia hizo zinazofanana. Wanatetewa eti ni kwa vile nchi zao hazikuwa na wasomi wengi, hoja ambayo mimi huwa siikubali...

Hawa vijana wanaposoma vitabu vyake hivi na hata kunukuu mawazo yake wanafikiri alikuwa ni mwanademokrasia ambaye aliruhusu mawazo huru na kinzani kuchanua. Kumbe kinyume chake ndiyo kweli!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

Kaka zangu wakati ule waligoma kwenda kupiga kura ingawa jambo hilo lilifanywa kuwa ni lazima kila aliyefikisha umri. Hoja yao wao walisema hakuna uchaguzi ila kiinimacho. Kwamba ukipiga kura ya ndiyo maana yake "ndiyo yeye"'. HAPANA maana yake "hapana mwingine ila yeye". Uchaguzi ambao upande mmoja kuna sura yake na upande wa pili kulikuwa na kivuli tu. Watu sasa wakisema udhaifu kwenye uongozi wake wanaleta hoja za udini. Azimio lake la Arusha ndiyo lililoangamiza nchi hii ingawa watu wanajifanya hawaoni
 
 

Attachments

  • tapatalk_1535906281647~2.jpeg
    57.7 KB · Views: 22
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…