Taharuki Kama hizi zilishawahi kutokea Kenya hadi kanisa likawa kwenye mgogoro na serikali na wanasayansi lakini baada ya kuelimishwa, kanisa likabidi kukubali na kutoa elimu kwa jamii...chanjo ikakubalika na taharuki ikabaki historia,"Dr.Buguzi .
Nchini Kenya ,gazeti la Daily Nation liliandika namna ambavyo Kanisa Katoliki lilivyomkosoa kiongozi wa Nasa,Raila Odinga kuhusu chanjo za pepopunda ambazo zilikuwa zinatolewa kwa wanawake wajawazito kuwa na madhara na kuwataka wanasiasa wasijihusishe na masuala ya kisiasa.