Hahahahaha!He he he he
Nkajua ndugu yako bana, maana duniani wawili wawili
Usitulaumu sisi. Wanawake wenyewe ndo hawaeleweki bana. Kuvaa mawigi napo utamlaumu nani? Kujichubua je? Kujisiliba mekapu? Nyusi za bandia?Asee, nyie wapenda misambwanda ndiyo mnaowatesa vimbaumbau[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna visa vya wanaume kutelekeza familia zao baada kupata mijimama iloyojazia. So, baadhi ya wanawake wanaona suluhisho ni kujibandika msambwanda feki ili kujenga heshima mtaani[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Duh! Ya ukweli hiyo?
Hahahahaha! Asigwa bwanaUngekageuza kinyume nyume tuone kama kana trakooooooo
from dar to kolomijeHow far I will go
[emoji28] [emoji28]from dar to kolomije
500 km