D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Kiboko yake General ChiwengaKama weww ni mume wa mtu na unajikuta ukivutiwa na wasichana wa shule, mnunulie mkeo sare za shule.
Yeye aliamini ndo rais pekee anayestahili kuitawala Zimbabwe baada yakealimuondoa kwenye ulaji
😛😛😛
Screw you[emoji124][emoji124][emoji124]
Usitulaumu sisi. Wanawake wenyewe ndo hawaeleweki bana. Kuvaa mawigi napo utamlaumu nani? Kujichubua je? Kujisiliba mekapu? Nyusi za bandia?
dah kama jumoooooooooooooooong hivi wanapatikana wapi hao wanaume
SafiiSiyo Mchina ile. Ile ni Photoshop tu ya kawaida. Mchina shida yake anashindwa kuleta uwiano kati ya msambwanda na mapaja. Mara nyingi utakuta mtako bwerere halafu tupaja twembambaaaa. Au mtako umekaa kiajabu ajabu nyama zipo sehemu ambazo hazipaswi kuwa...
If you know you know.....[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 858053