Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20180905-WA0019.jpg
 
Wanaume duniani hawaeleki katika swala la ukatili na huruma
Yasemekana kiasi cha huruma na ukatili kwa mwanaume ni nusu kwa nusu yaani asilimia 50 kwa 50
Kwa lugha rahisi ukimkuta mwanaume amedhamiria kuua na ukafanikiwa kumweka sawa kabla hajamfikia muhusika anarudisha moyo nyuma
Hii ni tofauti na jinsi wanawake walivyo
Somo
 
Back
Top Bottom