myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
😂😂😂😂😂😂Even if GOD decides to invite us all to heaven with a phone Call...some girls would still ask him,how did u get my number.
Robert mugabe(latest)
![]()
Siasa ni sanaa ya kuibua matatizo ya jamii, kuonesha unaumizwa nayo, kisha kujifanya unayatatua kumbe unayaongeza. Maana bila matatizo ya jamii hakuna wanasiasa - Groucho Max
Sipendi vichekesho (comedy), lakini napotaka kucheka hufuatilia namna serikali inavyofanya mambo yake - Will Rogers
kwa mfano sakata la makontena
sakata la vyeti
ahadi za mei mosi kwa wafanya kazi
Kabisa"Propaganda ikitumiwa vizuri inaweza kumfanya mtu aone kuwa paradiso ndio jehanam na jehanam ndio paradiso." Adolf_Hitler.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji106] [emoji106] [emoji106]Mtu mwenye ufahamu wa kweli, si tu kwamba atawapenda maadui zake wanapofanya vizuri, bali pia atawachukia marafiki zake wanapokosea." Friedrich_Nietzsche.
Kuna watu wawili tu wasioweza kubadili mawazo. Mpumbavu kuliko wote na mwenye hekima kuliko wote." Plato.
Kwe kwe kwe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]"Rais ni mtu wa kushutumiwa kila mara. Ukiona hataki kushutumiwa, ujue hajui sababu ya kuwa hapo." Harry_Truman.