Mmmmh"Sote tumezaliwa wajinga, tunahitaji bidii kidogo ili kuwa na maarifa, au bidii kubwa sana ili kuendelea kubaki wapumbavu. Baadhi huchagua njia ya pili." Benjamin_Franklin
Umeona hiyo, acha tuUnajisi wa sheria hutokea pale ambapo mahakmu/majaji, hujiweka mikononi mwa watawala na kuamini watawala wana nguvu kuliko sheria" Lamar_Smith.
EeehKuliko kuwapa wanasiasa ufunguo wa maisha yako, ni bora ubadili kitasa" . Doug_Larson
Ahahaaaa[emoji3]Siasa ni hatari kuliko vita. Kwenye vita mtu hufa mara moja tu, lakini kwenye siasa mtu hufa na kufufuka mara nyingi kadri iwezekanavyo" . WinstonChurchil.
Mkuu ujue hiyo ni kesi.Uko nae sehemu mmejifungia chumbani Mara pwaaa mafuta na nyama zimesambaa kitandani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu vipi unaishi maisha gani sasa?[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mimi ni Rais wa maskini. Waliozoea kuishi kama malaika wataishi kama mashetani''.
pombe
Mi simo[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Serikali yangu haitawapa chakula. Kila mtu atabeba msalaba wake.
Njaa haijaletwa na serikali''.
pombe
Loooh[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hakuna serikali iliyowahi kujenga nyumba za wahanga duniani pote.
Na sisi hatujengi.
pombe
SomoWanaume duniani hawaeleki katika swala la ukatili na huruma
Yasemekana kiasi cha huruma na ukatili kwa mwanaume ni nusu kwa nusu yaani asilimia 50 kwa 50
Kwa lugha rahisi ukimkuta mwanaume amedhamiria kuua na ukafanikiwa kumweka sawa kabla hajamfikia muhusika anarudisha moyo nyuma
Hii ni tofauti na jinsi wanawake walivyo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hahahaha!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]"kuna watu wana husda sna....hta kma unaogelea baharini watakwambia unawatimulia vumbi"
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kwa tukio kama hilo Hautokula nyama aina yoyote kwa kipindi kirefu mno
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Si nyama tu, unaweza ukaogopa kugusa misambwa* yote duniani.
[emoji3] [emoji3] [emoji3].Kuna mtu ameshuka kwenye kiwanja cha ndege Kizuri cha Bukoba, kisha akapokelewa kwa lami hadi uwanjani alipofika jukwaani eti serikali haijafanya kitu yani kiwanja cha ndege na barabara za lami hakuziona, tuwapuuze''.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndukiiiii [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125]unywaji pombe kupita kiasi kunaweza kukufanya chizi