Yupo mjini....H
Hivi huyu jamaa bado Yupo dar
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kasi kalisiku imeshika kasi
14:3412:00
Mzee wa liver nakuonaNaam tumshukuru Mungu kwa kukutana tena mahali hapa
Nzuri mkuuHabari za jumanne ndugu zangu
Unaitika vizuriAbee
Mfanyabiashara wa matundaMungu ni mwema, bado nipo,tena nikiwa na afya njema kabisa. Vijana wetu wanaendeleaje huko?
Tuendelee kumtumainia Mungu kwa kila jambo[emoji120] [emoji120]
Uwe na siku njema
AminaIwe siku ya amani na upendo
Sana mkuu, twende na likesNaona mambo ni moto Huku
Mzee wa liver nakuona