Hila mfalme daudi alizidi sana ufuska aliamurisha kamanda wake aende mstali wa mbele kwenye vita hile afe awe anagonga mke wake lakini ndio chanzo cha kuzaliwa selemaniHatari sana tena mno ila wakati injini zimewaka kuna kujisahau sana. Cha muhimu ni kutojenga mazoea ya kuvuka mpaka na married people na kujiepusha kuwa katika mazingira hatarishi faraghani. Vinginevyo mtu yanaweza kukukumba yaliyomkumba Mfalme Daudi na bibie mrembo sana sana Bethsheba [emoji16][emoji16][emoji16][emoji1549]♂️[emoji1549]♂️[emoji1549]♂️
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sulemani.....Mpaka Yesu mwenyewe anatokana na uzao huo huo [emoji16][emoji16][emoji16]Hila mfalme daudi alizidi sana ufuska aliamurisha kamanda wake aende mstali wa mbele kwenye vita hile afe awe anagonga mke wake lakini ndio chanzo cha kuzaliwa selemani
Pretty one MonicaAndaeitini huyu huwezi kumjua. She almost brought down a very successful presidency [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
WanampelekeagaSijui anapata wapi data huyo mdada
So what mkuuDaah watu wana turn on post notifications wapate umbea wakat wenzao wanaingiza hela..acha nijiongeezee maarifa jf.
Siyo wanawake. Siku hizi hata mijanaume imoo tena ndo kabisa usiseme ohooo...Wanawake bhana
HahahahahaBaada ya kukupa hiyo hint. Ulikuwepo wakati wa ile skendo au ulikuwa bado kwenye daipazi [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️