Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Some ladies should put learner sign(L) at the back of their high heels, you can’t just be walking like a newly born Goat in front of me[emoji41]
Kocha wa Manchester United Mourinho "ameshindwa kumvumilia" winga wa klabu hiyo Anthony Martial mwenye umri wa miaka 22. Martial anatarajiwa kuondoka United na kujiunga na timu nyengine ya ligi kuu ya England. Klabu za Arsenal na Tottenham zimeonesha nia ya kumsajili raia huyo wa Ufaransa. (Express)

Paul Pogba "aliahidiwa" na wakala wake wakati anarejea Manchester Unite akitoka Juventus kuwa angejiunga na Barcelona au Real Madrid mara baada ya kumalizika kwa msimu.(Manchester Evening News)

Mjasiriamali shamba lake limevamiwa naona...
View attachment 865067