ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Mlemle mkuuHuu sio mlonge, haya matunda ya mti huu hutumika kuongeza damu, na pia hayo matunda kimila kwa baadhi ya makabila yanatumika kwa watoto wa kiume ili wanapokua wakubwa wasiwe na vibamia. (Ndivyo inavyoaminika).
Kwa Kisukuma nadhani unaitwa Ntinje. Matunda yake hayo yalikuwa yanasagwa na kukaushwa halafu tunakunywa. Hata sikumbuki yalikuwa yanatibu nini.
Chelsea wapo katika hatihati ya kumpoteza kiungo wa Uhispania Cesc Fabregas, 31, na kuelekea Inter Milan ama AC Milan kama mchezaji huru mwezi Januari kutokana na mkataba wake kukipiga katika dimba la Stamford Bridge kufikia kikomo mwisho wa msimu. (Express)

Kiungo wa Arsenal Aaron Ramsay, 27, amesema yupo katika rada za klabu ya AC Milan. Mkataba wa kiungo huyo na Arsenal unamalizika mwisho wa msimu. (Sun)

Mi pia ni mzma nimefurah kukutana na ww tena kwenye huu uzi, unatokea mkoa gan DadA angu!!Mimi ni mzima kabisa....sijui wewe?
Kiungo wa Arsenal Aaron Ramsay, 27, amesema yupo katika rada za klabu ya AC Milan. Mkataba wa kiungo huyo na Arsenal unamalizika mwisho wa msimu. (Sun)
Kuitwa baba mwenye familia inahitaji moyo la sivyo unakimbia majukumuMbavu zangu jaman😀😀
Kiungo wa Arsenal Aaron Ramsay, 27, amesema yupo katika rada za klabu ya AC Milan. Mkataba wa kiungo huyo na Arsenal unamalizika mwisho wa msimu. (Sun)
Huyu KOCHA anafaa kuanza kuondoka yeye kwanza😡Kocha wa Manchester United Mourinho "ameshindwa kumvumilia" winga wa klabu hiyo Anthony Martial mwenye umri wa miaka 22. Martial anatarajiwa kuondoka United na kujiunga na timu nyengine ya ligi kuu ya England. Klabu za Arsenal na Tottenham zimeonesha nia ya kumsajili raia huyo wa Ufaransa. (Express)