Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Winga Willian amesema hakutaka kabisa kuhama Chelsea katika kipindi hiki licha ya kutakiwa na Manchester United na kupokea ofa mara tatu kutoka Barcelona. Raia huyo wa Brazil mwenye miaka 30 anatumai kusalia Chelsea kwa miaka mitano Zaidi. (Sky Sports)