Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Juventus watajaribu kumnunua tena nyota wa Ufaransa anayeichezea Manchester United Paul Pogba mwenye miaka 25 mwezi Agosti mwaka ujao. Mabingwa hao wa Italia pia wanataka kumnunua beki wa Brazil, Marcelo, mwenye miaka 30 ambaye kwa sasa huwachezea Real Madrid (Tuttosport)
Kiungo wa kati wa Ujerumani anayechezea Manchester City Ilkay Gundogan, 27, yuko radhi kuwakataa Barcelona ambao wanataka kumnunua mwezi Januari na badala yake kuanzisha mazungumzo kuhusu mkataba mpya katika klabu hiyo ya Etihad. (Sun)

Mnazi mmoja Darisalama mkuu!HAPO PAKALI SANA...
Google mkuuAllison backer ni namba ngap
Habari habari jamani