Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

MASKINI AKIPATA MATAKO HULIA MBWATA...
Hivi huyu mhenga aliyeandika hii methali alikuwa anatafuta nini kwa matako ya MASKINI?[emoji848][emoji848][emoji848]
Maskini hawapendani, hasa mmoja akiinuka kidogo wenzake alowaacha juani hujitahidi kwa kila njia kumkashifu. Kwahiyo hizo mbwata za makalio ya masikini ni sehemu ya hizo kashfa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…