Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
Usiku mtamu sana huu
Tafsiri mkuu ili na sisi tusioelewa Kiarabu tueleweWaajil farjahum
Ewe mungu mbariki Muhammad na kizazi chake na uwape faraja na uwalaani maadui zao kuanzia adui wa kwanza mpaka wa mwisho.Tafsiri mkuu ili na sisi tusioelewa Kiarabu tuelewe
Ewe mungu mbariki Muhammad na kizazi chake na uwape faraja na uwalaani maadui zao kuanzia wao wa kwanza mpaka wa mwisho.Tafsiri mkuu ili na sisi tusioelewa Kiarabu tuelewe
Asante mkuu. Nimependa hivyo vitisho.Ewe mungu mbariki Muhammad na kizazi chake na uwape faraja na uwalaani maadui zao kuanzia wao wa kwanza mpaka wa mwisho.
Amina
AmeenEwe mungu mbariki Muhammad na kizazi chake na uwape faraja na uwalaani maadui zao kuanzia wao wa kwanza mpaka wa mwisho.
Amina
Hahahaha eee
Nipo poa,za wewe?
Hahahahaha!!Unajimwambafai eeh!?
Subiri hapo zikiwekwa bolingo halafu asikie kile kibwagizo[emoji444][emoji445][emoji443] "Daliii Kimoko[emoji443][emoji444][emoji445] ndo utajua kama ni Mjita ama la [emoji16][emoji16][emoji16]
SawaGoogle mkuu