capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Bendi Jumapili Huwa hainogiBendi ipo.. Nmeshaondoka hapo
Lazima akukimbie[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16]Mimi nimevaa Kaunda suti ya kijivu...ngoja tuanze kukutafuta,umesema shati la draft?
Bar ya John Heche hiyoIsakwisa Mwaifuge simuoni siku hizi Calabash
Karibu hapa 5n kuna vitu vinavyopendwaBendi ipo.. Nmeshaondoka hapo
Aisee enzi hizo au mpaka sasaBar ya John Heche hiyo
5N Huwa nakosa pozi la kwenda kuna vitoto vya jirani hapa Huwa vinajaa pale nakosa freedomKaribu hapa 5n kuna vitu vinavyopendwa
Kweli kuna vitoto vinataka lawama hapa.Usijali ngoja tukusaidie kuwakuza vizuri5N Huwa nakosa pozi la kwenda kuna vitoto vya jirani hapa Huwa vinajaa pale nakosa freedom
Hivyo vitoto vya jirani naona hata Mzazi upande wa Mama kama ndo anavitumaKweli kuna vitoto vinataka lawama hapa.Usijali ngoja tukusaidie kuwakuza vizuri