Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Sheria ya uhifadhi wa hii kitu ni ngumu sana. Asiye nayo anaishi kwa amani zaidi kuliko aliye nayo.
"Ni rahisi zaidi kum-handle mke malaya na kuishi nae kwa miaka 50 pasipo madhara kuliko kukitunza hicho kidubwasha kwa miaka 10 bila kukutia matatani"

Rip Ditopile[emoji120] [emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haileweshi bana hio ni kama soda tu
Niliwahi kukuona sehemu na bilauli umejaza mvinyo mwekundu pomoni... Nakijisemea tu "anko endelea kuinjoika, ila kitakacho fuata utakuwa umekitaka mwenyewe". Kwa kweli sikukuonea huruma hata kidogo...
[emoji124] [emoji124] Maana raha ya uji... Ujiandalie mwenyewe mazingira ya kuunywa
 
Ditopile kilimtia matatani. Huyu nadhani ni mtu wa usalama hivyo amefundwa vyema..Aden Rage naye alikiachia laivu tena kwenye mkutano wa hadhara.

Kwa Trump kule FBI agent mmoja majuzi juzi hapa kaingia baa akakolea akapiga samasoti kikadondoka kikafyatuka na kumpata mlevi mwenzake mmoja mguuni. Nadhani alifukuzwa kazi na serikali inabidi imlipe mjeruhiwa mamilioni ya dola...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…