myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Ndio maana nimeandika wamepunguza sio kwamba umeisha"Kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi"
==Zito
Barcelona 3Barcelona 2 PSV Eindhoven 0
Ha hahaKwa hiyo hapo utashindwa uchague yupi na uache yupi. Na multiple choice unaweza kufumba macho tu au kujitengenezea pattern yako mwenyewe na ukatoboa [emoji16][emoji16][emoji16]
Yegomasika [emoji119]
Ni kweli mkuu. Nadhani hilo liko wazi...Mbinu za kisiasa. Swali sasa ni hili: wapinzani wafanye nini? Wakae tu na kulalamika kama wanavyofanya? Hapa ndipo akili kubwa inabidi zitumike ili kuja na mbinu mpya. Hakukosea aliyesema siasa mchezo mchafu !!!Mi naamini kama siasa ya upinzani isingepigwa marufuku kote nchini
Bado ccm na hali hii ngumu kwa wananchi kiuchumi wangechukiwa sana
Tukubali tukatae kupiga marufuku siasa za upinzani majukwaani ilikuwa ni mbinu ya ccm kurudisha imani iliyokuwa inapotea
@Yegomasika ukuje hapa kona ulipe bili ya savanna 3,nyingine nalipa mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
Potiiii kamu thisi weyi Yegomasika [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa factors zote hizi ni kweli mkuu. Matipo choice huziwezi. Utaishia kujichanganya tu [emoji16][emoji16][emoji16]Ha haha
Tatzo kila element ina factor zake muhimu, talking abt Eyes, lips, hair styl, smile, rangi ya ngozi, teeth arrangement, the jaw's color, kucha n.k
Dah labda iwe assignment, hili swali ukifumba macho utajuta nakwambia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukisikia mtu anazuga kwenda chooni kukimbia bill ndio hivi sasa! [emoji1][emoji1]