D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Mahatma Gandhi alipigwa risasi na kufariki dunia baada ya maisha yake kumfelisha. Lakini kifo chake kiliipatia India uhuru kutoka Uingereza. Hivyo, akafanikiwa.”
Hahahahaha!! Kwakweli“Kuna maisha baada ya saa tisa na nusu. Kuwa makini na raia.”
Is this Harvard?
Kuna tatizo kwenye hii familia tayari
No. Jengo lipo Paris, France.Is this Harvard?
Nimeiona bendera hatimaye...No. Jengo lipo Paris, France.