Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1537527835715.jpg
 
MSANII FAIZA OMARY(SISTER FEY) AWEKWA CHINI YA ULINZI KUFUATIA MATUMIZI MABAYA YA MITANDAO YA KIJAMII - Taarifa hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Juliana Shonza kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Kijamii wa Instagram - Ameandika kukamatwa kwa Faiza kunatokana na malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wadau wa filamu na baadhi ya Wananchi juu uwekaji wake wa picha na video zisizo na maadili katika mitandao ya kijamii - Atafikishwa Mahakamani baada ya uchunguzi kukamilika ili sheria ikachukue mkondo wake - Mpaka sasa Msanii Maua Sama, Watangazaji Soudy Brown na Shaffih Dauda, Michael Mlingwa(MxCarter), Katibu Mwenezi wa CHADEMA Tumaini Makene, Mshehereshaji Anthony Luvanda na wengine wawili wanashikiliwa na Polisi
 
Back
Top Bottom