Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

mjinga anapoamua kuvaa nguo zenye heshima huonekana kama ni mtu aliye elimika, lakini akifumbua mdomo wake hudhihirisha ujinga wake.
1537548261771.png
 
1.HAKUNA RANGI/ANGAVU
Unakunywa maji mengi sana

2.RANGI YA MAJANI MAKAVU YA NGANO
Uko sawa kiafya

3.NJANO ANGAVU
Uko sawa kiafya

4.NJANO ILIYOKOZA WEUSI
Uko sawa lakini jitahidi kunywa maji ya kutosha.

5.RANGI YA ASALI
Mwili wako haupati maji ya kutosha

6.KAHAWIA ILIYOKOZA WEUSI
Uenda una tatizo la ini
Uenda hunywi maji ya kutosha.Jitahidi kunywa maji ya kutosha sasa na endapo itaendelea mwone Daktari
asante kwa kuniongezea maarifa
 
Back
Top Bottom