Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtume Paulo aliandika barua nyingi sana kwenda kwa wale waliohitaji kumjua Yesu Kristo
Lakini zipo ambazo aliziandikia gerezani wakati Akiwa amefungwa kisa kuhubiri habari za Yesu nazo ni:
Barua ya Paulo kwa waefeso
Barua ya Paulo kwa wakolosai
Barua ya Paulo kwa wafilipi
Na barua ya Paulo kwa filemoni
 
Mkojo kutoa povu pia ni dalili mojawapo ya tezi dume
9.KIJANI AU BLUU
Kuna matatizo ya kimaumbile yanayoweza kupelekea hali hii.Pia kuna aina ya bakteria wanaoathiri mfumo wa mkojo na kupelekea hali hii.Inawezekana pia kutokea kwa sababu ya dawa au rangi ya chakula ulichokula.Mwone daktari

10.ZAMBARAU
Hii ni nadra sana kutokea.ila vyema umwone daktari mapema ufanyiwe vipimo

11.MKOJO UNATOA POVU
Hii haina madhara inaweza kutokana na Protini nyingi kwenye mlo. Inaweza kuwa matatizo kwenye Figo.Inapozidi mwone daktari

VISABABISHI VYA NJE
Vitu unavyokula vinaweza kusababisha mabadiliko kwenye mkojo.Pia matumizi ya dawa yanaweza kupelekea rangi au kiwango na harufu ya mkojo kubadilika.
 
446719813_320469.jpeg
 
Back
Top Bottom