myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
ππnawe pia
Mbinuko[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 873516
Aminajioni iwe njema kwa wote
Mbunye mkuu....Na ukisema ukweli utakuwa unazisikia redioni tu [emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221][emoji2221]mwanamme mjinga ni yule anayemdanganya msichana kwa kudai anampenda kumbe hana lengo naye.
Na kwetu umeingiaUsiku umeingia kwetu
Safi kabisaMungu atupe usiku mwema wooote
Kinadharia ni rahisi sana....usihukumu kama huja jihukumu wewe binafsi, usihukumu kama hujawa tayari kuhukumiwa
Mjinga ni nani na mwerevu ni nani katika jamii yetu hii?werevu wote wana good quality na wajinga wote wana bad qualities, hivyo basi jamii kubwa ya watu humheshimu zaidi mwerevu mmoja kuliko wajinga 1000
ChakulaUsiku wa kula...
HakikaMaombelezo siku 3..
SawasawaAmani na upendo uwe kwetu wooote
Jambo mhimu hiloTunawapa pole wote kwa ajali....
AminaMungu atulinde na mabaya
9.KIJANI AU BLUU
Kuna matatizo ya kimaumbile yanayoweza kupelekea hali hii.Pia kuna aina ya bakteria wanaoathiri mfumo wa mkojo na kupelekea hali hii.Inawezekana pia kutokea kwa sababu ya dawa au rangi ya chakula ulichokula.Mwone daktari
10.ZAMBARAU
Hii ni nadra sana kutokea.ila vyema umwone daktari mapema ufanyiwe vipimo
11.MKOJO UNATOA POVU
Hii haina madhara inaweza kutokana na Protini nyingi kwenye mlo. Inaweza kuwa matatizo kwenye Figo.Inapozidi mwone daktari
VISABABISHI VYA NJE
Vitu unavyokula vinaweza kusababisha mabadiliko kwenye mkojo.Pia matumizi ya dawa yanaweza kupelekea rangi au kiwango na harufu ya mkojo kubadilika.