Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]* "lijimuhogo la haja"
 
Wakisema ujiandikishe wani wei trip kwenda Mars utakubali? Au utaanza kuwaza wake zako utamwachia nani? Na makampuni yako ya utalii? Na....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sina kampuni ya utalii wala sina wake zangu. Nitasonga huko kama wataniahidi mrembo kwenda kumzalisha ili kuijaza Mars ili istawi.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] sina kampuni ya utalii wala sina wake zangu. Nitasonga huko kama wataniahidi mrembo kwenda kumzalisha ili kuijaza Mars ili istawi.
Weweeee. You are humble eeeh!?

Bado hawajagundua jinsi ya kuzaliana huko [emoji16][emoji16][emoji16]

Safari yenyewe miezi 7 unafikiri mchezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…