Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Saiv wanashughulika kuvutia ufukweni. Mmh kifo jaman ukifa tu baada ya siku mbili unasahaulika
Ndiyo imetoka hiyo. Utakumbukwa na nduguzo. Na baada ya muda hata hao nao wanakusahau...Pengine ukiwa mtu uliyetenda makuu...Lakini hata ukikumbukwa na dunia nzima, wewe kama marehemu inakusaidia nini?

Akina Mandela na akina Nyerere. Kukumbukwa kwao kunawasaidia nini kama wao? Mbwembwe tu za binadamu !!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…