Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

moudgulf rafikii fungua tuu,
Mie wala sina neno na wewe,
Fungua tuzungumze yataishaa tuu!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kuna jamaa alifumaniwa, mwenyewe anadai akiwa ndani kwa mwanamke mara akamsikia mjomba wa mwenye mke hapo nje. "Mi nitaulinda huu mlango wewe kamwite mwenyewe hapo sokoni aje ajionee mwenyewe maana kila tunavyomwambia haamini". Jamaa baada kujiuliza akaona ni heri apambane na huyo mzee kuliko kusubiri ujio wa mwenye mke. Hapo nje vumbi lilitimka lakini afanikiwa kuondoka ingawa pia alikula ngumi za kutosha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Alikua na bahati yake kuambulia ngumi kama arobaini tu!
Mbaya zaidi ni kukamatwa ugoni wewe ukiwa umejifungia ndani!
Mtu anakushauri ufungue mlango kwa ahadi hana tatizo na wewe,
Ana shida na mkewe tu.

Kumbe huko nje anasaga meno na kutafakari adhabu gani itakufaa,
Anafikiri panga alitume lifikie kichwani, shavuni,shingoni,kwenye pua au tumboni.
 
Aseeee, ukiwa na bahati mbaya aanze michezo ya Likoni Mombasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…