ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Vile Kamati Ya Rohombaya Tunaangalia HiiMaskini Manchester united
Salam moudgulfSalaam kim
Mkuu wewe ni mwenyeji huku?Siku hizi hili limekuwa dampo. Nyuzi zikihamishwa huko zinakuja kutupwa huku. Jana pia vu bin vu jamaa wakatupwa huku wamekomaa na jamaa kaposti sijui sredi ya ushoga. Mods kiboko!!!
Asante mkuuKaribuni tu kwa sababu hakuna namna [emoji16][emoji16][emoji16]
Unajua. Hata kama una ishu ya nguvu za kiume siku hiyo mnara utakuwa 5G. Wasiwasi kibao moyo unakukurika damu ya kutosha kila mahali mchecheto balaa unaunganisha tu magoli hata kama siyo kawaida yako. Pengine ndiyo raha anayoizungumzia. Kimbembe ni pale ukisikia mlango unagongwa. System zote zinashut down otomatikale na badala yake inakuwa ni kuangalia option ya fight or flight....Kuna jamaa anasema ule wasiwasi ndiyo raha yenyewe
Numbisa hizi habari zishamfikia?ManU kalala..[emoji460][emoji460][emoji460]
Anazo...kajifichaNumbisa hizi habari zishamfikia?