Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"


Yaani miaka yake imeganda khaa!!

Dada wa taifa watu wamemchoka sasa hivi,hana mashiko kama ilivyokuwa mwanzo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jina limeshawahiwa tafuta hata manzese sweetihati bana
Au nijiite koromije switihati?[emoji23][emoji23]ila naogopa wasukuma wasijenipiga mawe.

Ila sijui aliwaza nini hadi kusema vile eti buguruni sweetheart[emoji23][emoji23]
 
Hapana, mi sijawahi kwenda huko. Huwa naona ona wafuasi wake wanavyomwagia sifa
 
Au nijiite koromije switihati?[emoji23][emoji23]ila naogopa wasukuma wasijenipiga mawe.

Ila sijui aliwaza nini hadi kusema vile eti buguruni sweetheart[emoji23][emoji23]
Ngoja nijiite JF switihati mweee mweee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wasukuma wanakupenda hivyo wakiongozwa na broo wee jiite tu

Kuna kitu makonda anakifahamu ndo maana akasema hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…