Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hakutakiwa kuwa na team angebaki neutral,sema ndo vile hawezi lazima aonyeshe mahaba kwa watu wake.
Ila pugi anapata shida jamani.

Hivi ni kweli parachichi la taifa linatoka na irene??
Uteam anao tangu alipokubali ulezi wa wcb na vile wema nae kaenda chaman na kujisogeza wcb baasi jamaa anaona bora alipe fadhila

Chezea juisi za andjul wewe,nenerefu linanesanesa,huku mfukon pesa zipo wacha bintiajifaidie ila sasa sijui ni kweli au si kweli
 
Nakuamini kwa ubuyu wa rangi rangi
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…