myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Unao upendo na wewe ?Unao upendo wewe? ??
Totally sad walahiKilio cha mama mzazi
Licha ya matukio hayo, Lucy Dembe ambaye ni mama mzazi wa Thomas alisema hajaonana na mwanaye kwa miaka mitatu.
Huku akilia machozi karibu muda wote wa mahojiano, mama huyo alisema, “Awali walikuwa wakiishi Mabibo (baba watoto wake), lakini walihama kwa kunikimbia nisimuone mwanangu. Ninaumia kwa sababu hata matukio ya mtoto siyajui nafanya kusikia hapa wanaponieleza. Mtoto alipotea Jumatano taarifa nimepewa Ijumaa sitendewi haki.” alisema Lucy
Mola aingilie kati walahi so sad jamaniMtoto huyo alichukuliwa na dereva mwanamume aliyekuwa katika gari aina ya Toyota IST, ambaye baada ya kuwafukuza marafiki waliokuwa wakicheza naye, alitoa kichupa kidogo kinachodhaniwa ni ‘spray’ na kumpulizia mtoto huyo na hatimaye kumuingiza katika mlango wa nyuma wa gari lake na kutokomea naye kusikojulikana.
“Sasa hivi miguu yangu yote imeishiwa nguvu, sina raha kabisa leo (jana) siku ya tatu mwanangu sijui alipo. Sijui anakula nini huko, nazidi kumuomba Mungu,” alisema.
Throne! ..Losing part of yourself
Duh!!Ukimaliza kutumia toothpick kwa joint ya fast food unailamba vizuri alafu unairudisha kwa container yake to help them in cost cutting.
Wa heart and soul!kabisa.... ..saaafi ...wa damu na nyama!