Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Unahamaje mjini kwa mfano?
Ubuyu unamwachia nani?
Hapo sasa naona JF sweetheart ishaibiwa ngoja nijiite ubuyu sweetheart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapo sasa naona JF sweetheart ishaibiwa ngoja nijiite ubuyu sweetheart[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nani huyo kajiita hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pambana bhana
 
Numbisa na Poti wako. Kesho yaani ni kama vile nawaona mtakavyotinga job [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 882626
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]boss man u keshatoa onyo mipira kazin marufuku
 
Asante bro. Nami nimekuelewa sana.

Hata hivyo napenda nikwambie kitu kimoja. Mwaka jana mwezi wa 12 binafsi nilipitia kipindi kigumu sana na nilikuwa mbali na nyumbani. Kidogo nikate tamaa. Kilichonisaidia ni watu wa hapa hapa katika uzi huu. Kuna watu walikuwa tayari kunisikiliza, kunitia moyo, kunishauri na hata kuniombea. Na kwa vile hakuna tatizo linalodumu milele kweli kipindi hicho kigumu kilipita na maisha yakaendelea. Hapa tunaweza kugongana mara moja moja pengine kwa sababu za kisiasa, mapenzi, dini na hata matani yaliyozidi kipimo lakini ukweli tunaishi kama ndugu. Ndiyo maana nimekuwa nikisema kuwa kama unataka kubadilishana mawazo jisikie huru kuongea na wadau hapa. Na zaidi ya yote Mtegemee Mungu.

Ni hayo tu mkuu. Mungu Aendelee kutubariki sote [emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Tule likes sasa tena kwa roho safiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…