Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na once ukipata wakike unataka wakwe wengi [emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] but InshaAllah I wish nipate boy this time.
Mimi pia nahitaji kavulana kamoja tu...

Kuna thread humu zinazungumzia mambo ya kufanya ili kupata mtoto wa kiume. Na mtandaoni zimejaa kibao. Sina uhakika kama zina scientific truth though..na kumbuka kuwa anayeamua jinsia ya mtoto ni mwanaume kwa hivyo hilo ni jukumu lake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…