capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ahsante,Hapa ni gulio la habari.
Ukiwa na habari mpya iweke hapa,
ukiwa na simulizi tupia,
Ukiwa unataka ushauri funguka,
Kwa kifupi hapa kuna watu wa kila fani, watakupa likes na maarifa pia
Kila mtu ana mbabe wake hapa duniani.
Duh !!!The same way men are Scared of getting Raped in Jail is how Ladies feel Walking Around Everyday.
Leopard
Mkuu mkuu. Kabla haijafika mwisho, safari ni lazima ianze kwanza. Marriage is a destination....If you're not dating to marry then y'all are just wasting each others time
*SOMO KWA WANASIMBA*E bhana eeeh, mnyama ndio kila kitu aisee
Though. ..they never change their spots... .... ....Mkuu mkuu. Kabla haijafika mwisho, safari ni lazima ianze kwanza. Marriage is a destination....
Meaning.?Mkuu mkuu. Kabla haijafika mwisho, safari ni lazima ianze kwanza. Marriage is a destination....
Yap. Kama uko alcoholic na ukaacha ghafla unakufa. Inasemekana ndicho pia kilimuua Amy Winehouse.
Ili ufike Majita kutokea Dar ni lazima safari uianzie Dar...Lakini pia huko njiani kunaweza kuwa na ajali na matatizo mengine ukashindwa kufika Majita kwa wakati na unaweza hata kuahirisha safari kabisa...Lakini lengo lako lilikuwa ni kufika Majita...Meaning.?