Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hizo mvua zenu huwaga hazina radi na ngurumo mpaka ziwabembeleze?

Hapa nilipo inasemekana ndiyo sehemu inayoongoza kwa radi duniani basi mvua zikinyesha iwe mchana au usiku aisee ni kasheshe. Sipendi radi basi tu !!!
Kuna muda zinaambatana na radi na kuna muda haziambatani na radi...Sio mara zote kunakuwa na radi..
Sema mie huwa napenda kile kimvua chanyesha kwa kujikongoja, kidogo kidogo...Usingizi unakuwa mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…