Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1538394192277.jpg
 
Mpaka sasa Barcelona (beaten), Real Madrid (beaten), Atletico Madrid (beaten), PSG (beaten), Manchester United(beaten), Totehnam (beaten), Arsenal (beaten), Liverpool (beaten), Manchester city (beaten)
Simba "mikia" (Beaten) but Juventus *Unbeaten*
Yanga africa *Unbeaten* [emoji122]


Ikikuuma kawapige Mbao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi majoka sina shida nayo kabisa. Usukumani huko napishanaga nayo tu kawaida. Kuna watu hapa walishawahi kutoa dukuduku lao zamani kuwa huwa yanawatisha na yakianza tu kuwekwa basi ni lazima wakimbie kwanza. Ila siku hizi naona walishazoea [emoji16][emoji16][emoji16]
Ningeshangaa sana, maana elimu ya awali ya nyoka tunaipata kwa wanyammwezi na wasukuma
 
Mpaka sasa Barcelona (beaten), Real Madrid (beaten), Atletico Madrid (beaten), PSG (beaten), Manchester United(beaten), Totehnam (beaten), Arsenal (beaten), Liverpool (beaten), Manchester city (beaten)
Simba "mikia" (Beaten) but Juventus *Unbeaten*
Yanga africa *Unbeaten* [emoji122]


Ikikuuma kawapige Mbao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Droo pia ni kufungwa au sijaelewa, maana Liverpool hawajafungwa
 
Back
Top Bottom