Ahahah hapo upo kama mimi ndugu.Kuna muda zinaambatana na radi na kuna muda haziambatani na radi...Sio mara zote kunakuwa na radi..
Sema mie huwa napenda kile kimvua chanyesha kwa kujikongoja, kidogo kidogo...Usingizi unakuwa mzuri.
Inaonyesha mahali ulipo pamezungukwa na misitu minene, poleni napenda mvua lakini sipendagi upepo na radi hasa kwa mvua za VuliHizo mvua zenu huwaga hazina radi na ngurumo mpaka ziwabembeleze?
Hapa nilipo inasemekana ndiyo sehemu inayoongoza kwa radi duniani basi mvua zikinyesha iwe mchana au usiku aisee ni kasheshe. Sipendi radi basi tu !!!
Hahahahaha!! Kumbe tupo wengi eeh!!Ahahah hapo upo kama mimi ndugu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] siyo chapuo bhana[emoji3]Unajua kujipigia chepuo[emoji23]
Hahahahaha!! Kumbe tupo wengi eeh!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3]ukirudi uni tag mkuu..
Labda na mimi utanipa hayo majibu!
Namshukuru Mungu, Alhamdulillah, Salama kabisaNjema kabisa. Habari za wewe ndugu
Hasa ukilala na mwana wa Adam akupatie kajoto ka mwili wake[emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna muda zinaambatana na radi na kuna muda haziambatani na radi...Sio mara zote kunakuwa na radi..
Sema mie huwa napenda kile kimvua chanyesha kwa kujikongoja, kidogo kidogo...Usingizi unakuwa mzuri.
Ni kimkia kimeingia baharini. Joto balaa na karibu kila jioni kuna mvua. Radi zake sasa mweh !!!Inaonyesha mahali ulipo pamezungukwa na misitu minene, poleni napenda mvua lakini sipendagi upepo na radi hasa kwa mvua za Vuli