Lala salama [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gudnite bana
Salama tu. Karibu mkuuSalama huku?
Ahsante mkuu, nimeona umeshare kipande cha hillsong hapo juu...Salama tu. Karibu mkuu
Ahsante mkuu, nimeona umeshare kipande cha hillsong hapo juu...
Sio mda mrefu sana nilibahatika kuattend one of their concerts based on their classical songs.Ilifana sana.Yaah! Ni kweli Ndugu napenda sana kusikiliza Gospel/Worship Songs
Sio mda mrefu sana nilibahatika kuattend one of their concerts based on their classical songs.Ilifana sana.
Worshiping is a good thing bro, keep it up!!
Hillsong wako vizuri sana kwenye gospo.Sio mda mrefu sana nilibahatika kuattend one of their concerts based on their classical songs.Ilifana sana.
Worshiping is a good thing bro, keep it up!!
Kuna wengine hawana joto?Hahahahaha!!! Si ndo mpaka awe na joto[emoji23]
Hillsong wako vizuri sana kwenye gospo.
Amen!!Daah! Aisee Hongera sana kwa kuudhulia concerts zao hao jamaa.
Thanks bro. Let's make God take all over the place
Kabisa, i like it they have launched the hillsong channel na mara nyingi wanapiga nyimbo zao.Hillsong wako vizuri sana kwenye gospo.
Hillsong sasa ni taasisi. Mbali na channel hiyo wana chuo chao huko kwao Australia watu wanapata skolashipu kwenda kusoma huko. Wamefanikiwa sana !!!Kabisa, i like it they have launched the hillsong channel na mara nyingi wanapiga nyimbo zao.
SHY mzima lakini?Kitambo sana bro.
Mara ya mwisho kupita huku ulikua umeudhiwa ukadai hutokuja tena kupost hapa.
Sure mimi mzima pia namshukuru Mungu.Hillsong sasa ni taasisi. Mbali na channel hiyo wana chuo chao huko kwao Australia watu wanapata skolashipu kwenda kusoma huko. Wamefanikiwa sana !!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]. Uzi huu ni kama sumaku mkuu. Hata ukizira baadaye utaadhirika na kurudi tena. Ile naona ilikuwa mihemko tu. Wewe hujambo? TUMSHUKURU MUNGU [emoji1545][emoji1545][emoji1545]