Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Kwako pia bro.Muwe na Usiku mwema ndugu zanguni.
Kwako pia bro.Muwe na Usiku mwema ndugu zanguni.
Kwani kuna mwana wa Adamu asiye na kajotojoto ndugu Profesa?Hahahahaha!!! Si ndo mpaka awe na joto[emoji23]
Kila mwaka huwa wanafanya concert kubwa katika mkutano mkubwa wa matineja karibia 15K+ kutoka makanisa mengi ya kipentekoste ya Marekani. Mkutano huu hufanyika kule Gainesville, Georgia na huandaliwa na Mchungaji Jentezen Franklin. Hillsong hukaa huko kwa siku tatu mfululizo wakiendesha injili. Nimeshawahi kwenda katika mkutano huo kama msaidizi na jamaa wako vizuri sana. Hata uwe na roho ngumu namna gani, Roho Mtakatifu mwishowe Atakugusa tu.Sure mimi mzima pia namshukuru Mungu.
Kuhusu chuo wamefungua branch marekani pia sema nimesahau ni state gani...
Hahahahaha!! Kajotojoto kanatofautiana.Kwani kuna mwana wa Adamu asiye na kajotojoto ndugu Profesa?
Joto linatofautiana..Hahahahah!!Kuna wengine hawana joto?
Umejuaje? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Joto linatofautiana..Hahahahah!!
Kupitia simulizi za watu mbalimbali.Umejuaje? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Wewe unaangukia wapi kwenye scale ya 1 to 10? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kupitia simulizi za watu mbalimbali.
UpogoKupitia simulizi za watu mbalimbali.