Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

A830472D-4F4D-4BED-91B5-E9F679F193E0.jpeg
 
Kila mwaka huwa wanafanya concert kubwa katika mkutano mkubwa wa matineja karibia 15K+ kutoka makanisa mengi ya kipentekoste ya Marekani. Mkutano huu hufanyika kule Gainesville, Georgia na huandaliwa na Mchungaji Jentezen Franklin. Hillsong hukaa huko kwa siku tatu mfululizo wakiendesha injili. Nimeshawahi kwenda katika mkutano huo kama msaidizi na jamaa wako vizuri sana. Hata uwe na roho ngumu namna gani, Roho Mtakatifu mwishowe Atakugusa tu.

I see, mambo ya upako hayo.
 
Tabia za mtu huyu ni kuwaumiza wengine kila mara. Hata hawezi kujali kama anamuumiza mtu kwa kitendo anachokifanya. Imani ya dini yake inamwambia kuwa mwanamke ni mtu dhaifu. Ndio maana haoni sababu ya kumjali. Ni mtu wa kuhukumu kila wakati, Anaweza akawa anafokea watoto, anafokea mke, hata mbwa anamfokea na kutumia lugha chafu.

Ukijaribu kumweleza kuhusu tabia yake , atakuambia umechanganyikiwa , na wala hujui unachokiongea. Hana hata chembe ndani ya moyo wake wa kujali watu , Kwa mtindo huo kama hawezi kumjali binadamu , atawezaje kujali mnyama.
Mzima Numbisa?
 
Back
Top Bottom