Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,302
- 35,824
.
Napenda mijadala ya kiimani hasa ikifanyika kwa maelewano na heshima bila kutukanana. Hata Kiranga namsomaga na hoja zake za kupinga uwepo wa Mungu. Sote tu wanafunzi wa kudumu katika dunia hii ati !!!Hahahahahahahaaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] hapana mkuu kuna kaswali furani kadogo ka kiimani. Marafiki zangu mtaani wananichanganya. Nadhani profesa atanipa majibu mujarabu
Nashukuru!!! Yego abebe tu hicho kitita.. Huwa siwezi kunufaika na nisichokitolea jasho.Njoo na Yego mje mchukue $1,000 yenu [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] mkuu una tatizo na majoka ya kwenye picha?Leo picha za vitoto vizuri vya Kiafrika. Ila ninavyokujua, si ajabu ukachepuka papo kwa papo na kurusha picha moja au mbili hivi za majoka [emoji16][emoji16][emoji16]
Nashukuru!!! Yego abebe tu hicho kitita.. Huwa siwezi kunufaika na nisichokitolea jasho.
Ondoa shaka mkuu, nadhani nitakujibu vizuri na utaridhika, labda uamue kutoridhika..Hahahahahahahaaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] hapana mkuu kuna kaswali furani kadogo ka kiimani. Marafiki zangu mtaani wananichanganya. Nadhani profesa atanipa majibu mujarabu
Mimi majoka sina shida nayo kabisa. Usukumani huko napishanaga nayo tu kawaida. Kuna watu hapa walishawahi kutoa dukuduku lao zamani kuwa huwa yanawatisha na yakianza tu kuwekwa basi ni lazima wakimbie kwanza. Ila siku hizi naona walishazoea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji3] [emoji3] mkuu una tatizo na majoka ya kwenye picha?
Adui wa nchi hii walishakufa tangu zamani na wasirudi tenaUmeona ehh
Ndugu yangu ni kuiombea nchi yetu Tanzani believe me sky is not a limit!
Asee, mi ikinyesha mvua usiku pia huwa napata burudani kwa ule mlio wake[emoji3]Rain [emoji943] mwenzenu silali hadi niweke sauti ya mvua 🤣🤣🤣🤣🤣
Asee, mi ikinyesha mvua usiku pia huwa napata burudani kwa ule mlio wake[emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] SYB aliongea kwa hisiaHahahahaha!!! Siipigii mahesabu Moudgulf, nimeikumbuka tu hii kauli nikaitupia....Kama SIASA vile.[emoji23]
Kabisa walahiAdui wa nchi hii walishakufa tangu zamani na wasirudi tena