Pyaar
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 17,275
- 80,330
KaribuNaashukuru, nikipata wasaa nitafanya hivyo
KaribuNaashukuru, nikipata wasaa nitafanya hivyo
Kamanda. Karibisho zuri la kwenda PM hilo kujadili mambo ya relijeni. Prof yuko vizuri kote kote. Kama utakuwa mjadala chanya usisahau kutumegea na sie [emoji16][emoji16][emoji16]Ondoa shaka, kama vipi waweza kuja pm uniulize na nitakujibu ninavyoelewa.
Michezo ya hatariView attachment 883893
Leo picha za vitoto vizuri vya Kiafrika. Ila ninavyokujua, si ajabu ukachepuka papo kwa papo na kurusha picha moja au mbili hivi za majoka [emoji16][emoji16][emoji16]
Amani itawale usiku huu