Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1538394211033.jpg
 
Hahahahaahaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] mkuu naona unaipigia mahesabu dola 1000[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hahahahaha!!! Siipigii mahesabu Moudgulf, nimeikumbuka tu hii kauli nikaitupia....Kama SIASA vile.[emoji23]
 
Kamanda. Karibisho zuri la kwenda PM hilo kujadili mambo ya relijeni. Prof yuko vizuri kote kote. Kama utakuwa mjadala chanya usisahau kutumegea na sie [emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahahahahahaaha[emoji3] [emoji3] [emoji3] hapana mkuu kuna kaswali furani kadogo ka kiimani. Marafiki zangu mtaani wananichanganya. Nadhani profesa atanipa majibu mujarabu
 
Back
Top Bottom